Advertisements
RSS

Ziara ya Raisi Nchini Singapore kwa picha

05 Jun

Picha : Ikulu

20130605-182803.jpg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Bw. Laurence Bay, Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore. Kushoto ni Balozi wa Tanzania India na Singapre Injinia John Kijazi na mbele yao ni Naibu Mkurugenzi wa Itifaki wa Singapore Bi. Christine Tay.

20130605-182915.jpg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh. Bernard Membe,akifuatiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara,Mh. Abdallah Kigoda pamoja na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Mh. Anne Tibaijuka wakati Rais akiwasili nchini Singapore leo.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jijini Singapore leo wakati alipokutana na wafanyabaishara za ujenzi wa nchi hiyo mara tu baada ya kutoka Japan alikokwenda kwa ziara ingine ya kikazi. Katika mkutano huu Rais Kikwete aliwakaribisha wafanyabishara hao wa Singapore Tanzania kuwekeza katika sekta ya nyumba .


PICHA NA IKULU

Advertisements
 
Leave a comment

Posted by on June 5, 2013 in Tanzania News

 

Tags: , ,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: