Advertisements
RSS

Fina Mango na Makutano Show Leo ndani ya Magic FM

04 Aug

Baada ya miaka 4 Fina Mango arejea kwenye masikio yenu kupitia Magic FM na kipindi kipya cha Makutano kitakachokua charushwa kila Jumamosi kuanzia saa 9 alasiri hadi saa 12jioni. Jumamosi ya Leo ndio kipindi cha kwanza, katika mengi yatakayokuwamo ni pamoja na mjadala wa mafao ya uzeeni, habari zilizoandikwa na kua gumzo zaidi kwenye magazeti ya wiki, atazungumza na aliekua Waziri wa Mambo ya Ndani Ndugu Lawrence Masha kuhusu maisha, siasa na yajayo. Zito Kabwe pia atakuwepo. Usikose kusikiliza.”

20120804-085755.jpg

Advertisements
 
Leave a comment

Posted by on August 4, 2012 in General Knowledge

 

Tags: ,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: