Advertisements
RSS

Breaking News: Rais Kikwete awateua James Mbatia, Prof. Sospeter Muhongo na Janet Mbene kuwa wabunge

03 May

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wabunge watatu wapya kwa mujibu wa mamlaka ya uteuzi aliyo nayo chini ya Ibara ya 66(i) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wabunge hao wapya ni Profesa Sospeter Muhongo, Bi. Janet Mbene na Bwana James Mbatia.

Uteuzi huo unaanza mara moja.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
3 Mei, 2012
FOR: http://monfinance.com/

Advertisements
 
2 Comments

Posted by on May 3, 2012 in Tanzania News, Uncategorized

 

Tags:

2 responses to “Breaking News: Rais Kikwete awateua James Mbatia, Prof. Sospeter Muhongo na Janet Mbene kuwa wabunge

  1. Pingback: URL

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: